Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa kileleni mwa msimamo wa Ligi baada ya kushinda mechi nne za mwanzo tukiwa na alama 12.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Dotto Evarist (2), Ruth Ingosi (20), Violeth Nicholas (26), Esther Mayala (23), Ritticia Nabbosa (27), Vivian Corazone (17), Jentrix Shikangwa (25), Precious Christopher (8), Elizabeth Wambui (4).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Gelwa Yonah (21), Emeliana Mdimu (15), Jackline Albert (16), Asha Djafar (24), Asha Rashid (14), Mwanahamisi Omary (7), Wincate Kaari (29), Josephine Julius (6), Shelda Boniface (9).