Hii ni mechi muhimu ambayo itatumiwa kukabidhiwa kwa taji la ubingwa ambao tumelitwaa msimu huu.
Hiki hapa kikosi kamili kilivyopangwa
Caroline Rufa (28), Fatuma Issa (5), Diana Mnally (15), Daniela Ngoyi (22), Violeth Nicholas (26), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Ritticia Nabbosa (27), Aisha Mnuka (10), Jentrix Shikangwa (25), Asha Djafar (24).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba
Gelwa Yonah (21), Doto Evarist (11), Shelda Boniface (39), Danai Bhobo (40), Esther Mayala (23), Silvia Thomas (12), Zainabu Mohamed (8), Koku Kipanga (19), Asha Rashid (14).