Leo saa 10 jioni Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma kuikabili Fountain Gate Princess katika mchezo wa ligi kuu ya Wanawake Tanzania (WPL).
Simba Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 iliyopata kwenye mchezo uliopita dhidi Kilimanjaro Wonders Queens uliopigwa Oktoba 28.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Fatuma Issa (5), Asha Omary (12), Violeth Nicholas (26), Brice Zanga(13), Elizabeth Joseph (21), Vivian Corazone (17), Fasila Adhiambo (29), Zainah Nandede (11), Aisha Mnunka (10), Senaf Demise (19)
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Dotto Evarist (2), Esther Mayala (23), Neema Mtunzi (16), Elizabeth Nashon (6), Shelda Boniface (14), Zawadi Hamis (36), Mabinty Camara (3), Kusamfula Musakanda (18).