Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Gate Princess

14 Oct 2024

Huu ni mchezo wa pili wa Ligi Kuu baada ya ule wa kwanza dhidi ya Mlandizi Queens ambao tuliibuka na ushindi wa mabao 3-0.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Esther Mayala (23), Violeth Nicholaus (26), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Ritticia Nabbosa (27), Asha Djafari (24), Precious Christopher (8), Dotto Evarist (2),

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Ruth Ingosi (20), Emeliana Mdimu (15), Josephine Julius (6),Mwanahamisi Omari (7), Jackline Albert (16), Shelda Boniface (9), Jentrix Shikangwa (25). Asha Rashida (14).

Back to homepage
Share this story