Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens

20 Dec 2023 By simbasc 501 views
Simba Queens itashuka katika Uwanja wa Azam Complex kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League (SLWPL) ambayo inaanza leo. Hiki hapa kikosi ambacho kocha Mkuu Juma Mgunda amekipanga kwa ajili mchezo wa leo. Carolyene Rufa (28), Ruth Ingosi (20), Diana Mnali (15), Esther (23), Daniella Ngoyi (22), Violeth Nicholas (26), Asha Djafar (24), Vivian Corazone (17), Asha Rashid (14), Aisha Mnunka (10), Wambui (4). Wachezaji wa Akiba: Gelwa Yona (21), Dotto Everist (11), Fatuma Issa (5), Silvia (12), Joelle Bukuru (18), Joanitah (25), Olaiya Barakat (9), Mwanahamisi Omary (7), Koku Kipanga (19).
Advertisement
Back to homepage
Share this story