Queens itaingia katika mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi mnono wa mabao 4-0 iliyopata dhidi ya Bilo Queens kwenye mechi ya kwanza ya Ligi.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Zanga Brice (22), Zainah Nandede (11), Emeliana Mdimu (15), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Aisha Mnunka (10), Elizabeth Joseph (21), Jentrix Shikangwa (25), Zawadi Usanase (18), Fasila Adhiambo (29).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Ruth Aturo (1), Doto Evarist (2), Elizabeth Wambui (4), Elizabeth Nashon (6), Janeth Nyagali (7), Asha Omary (12), Neema (16), Cordelia Amarachi (19), Umutesiwase Magnifique (26).