Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Bilo Queens

14 Nov 2025

Queens ambayo inaundwa na mchanganyiko wa wachezaji wageni na wazoefu ambao lengo lake la kwanza msimu huu ni kutwaa ubingwa.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Zainah Nandede (11), Dotto Evarist (2), Emeliana Mdimu (15), Ruth Ingosi (20), Zanga Brice (20), Aisha Mnunka (10), Elizabeth Joseph (21), Jentrix Shikangwa (25), Fasila Adhiambo (29), Zawadi Usanase (18).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba

Ruth Aturo (1), Asha Omary (12), Janeth Nyagali (7), Elizabeth Wambui (4), Mtunzi (16), Vivian Corazone (17), Amarachi (19), Umutesiwase Magnifique (26), Elizabeth Nashon (6).

Back to homepage
Share this story