Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa kuikabili Alliance Girls

23 Jan 2026

Kocha Mussa Hassan Mgosi amefanya mabadiliko ya wachezaji wawili ukilinganisha na kile kilichocheza mechi ya mwisho dhidi ya Mashujaa Queens.

Mgosi amewaanzisha mlinda mlango Janeth Shija na mlinzi Fatuma Issa wakichukua nafasi za Ruth Aturo na Aisha Ramadhani.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Advertisement

Janeth Shija (30), Zanga Brice (22), Zainah Nandede (11), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Aisha Mnunka (10), Elizabeth Joseph (21), Jentrix Shikangwa (25), Elizabeth Wambui (4), Fasila Adhiambo (29).

Wachezaji wa Akiba:

Dotto Evarist (2), Zawadi Hamis (36), Zawadi Usanase (18), Elizabeth Nashon (6), Janeth Nyagali (21), Cordelia Amarachi (19), Neema Mtunzi (16), Zuhura Waziri (38).

Back to homepage
Share this story