Simba Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 5-0 tuliopata katika mechi iliyopita dhidi ya Bilo Queens.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Janeth Shija (30), Zainah Nandede (11), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Emeliana Mdimu (15), Brice Zanga (22), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Aisha Mnunka (10), Fasila Adhiambo (29), Jentrix Shikangwa (25).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Zuhura Waziri (38), Elizabeth Joseph (21), Janeth Nyagali (7), Dotto Evarist (2), Amarachi Cordiela (19), Zawadi Hamis (36), Fatuma Issa (5), Elizabeth Nashon (6), Ruth Aturo (1), Zawadi Usanase (18).