Simba Sports Club
News

Kikosi cha Simba Queens kilichopangwa dhidi ya Bilo Queens

3 Apr 2026

Huu ni mchezo wa kwanza wa Simba Queens katika mzunguko wa pili wa WPL ambao wanauanza huku wakiwa kileleni mwa msimamo.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Ruth Ingosi (20), Zanga Brice (22), Vivian Corazone (17), Elizabeth Wambui (4), Elizabeth Joseph (21), Fasila Adhiambo (29), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Mnunka (10), Zawadi Usanase (18).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Zuhura Waziri (38), Dotto Evarist (2), Zainah Nandede (11), Zawadi Hamis (36), Elizabeth Nashon (6), Cordelia Amarachi (19), Janeth Nyagali (7), Esther Mayala (23), Emeliana Mdimu (15).

Back to homepage
Share this story