Simba Sports Club
News

Kikosi cha Queens kitakachotuwakilisha dhidi ya SHE Corporates

27 Aug 2022

Tunaingia katika mchezo wa leo tukiwa na lengo moja la kupambana kuhakikisha tunashinda na kuchukua ubingwa na kuandika historia.

Kikosi Kamili kilivyopangwa

Gelwa Yonah (21), Diana William (15), Fatuma Issa (5), Esther Mayala (23), Daniella Kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Pambani Kuzoya (17), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Aisha Juma (10), Asha Djafari (24)

Advertisement

Wachezaji wa Akiba

Zubeda Mgunda (29), Doto Evarist (11), Violeth Nicholaus (26), Silvia Thomas (12), Sarrive Badiambila (2)Olaiya Barakat (9), Topister Situma (13), Philomena Abakah (27), Amina Ramadhani (14).

Back to homepage
Share this story