Queens imetinga fainali baada ya kuifunga Mashujaa Queens mabao 2-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Oktoba 9 kwenye dimba la KMC Complex.
Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Zainah Nandede (11), Dotto Evarist (2), Esther Mayala (23), Ruth Ingosi (20), Zanga Brice (22), Elizabeth Wambui (4), Vivian Corazone (17), Cynthia Shilwatso (27), Asha Omary (12), Aisha Mnunka (10).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Emeliana Mdimu (15), Jentrix Shikangwa (25), Cordelia Amarachi (19), Shelda Boniface (14), Zawadi Usanase (18), Elizabeth Nashon (6), Fasila Adhiambo (29)