Simba Sports Club
News

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Garde Republicaine

14 Aug 2022

Sisi ndio timu pekee kutoka Tanzania na michuano inafanyika katika ardhi ya nyumbani hivyo ni jukumu letu kuhakikisha ubingwa unabaki.

Kikosi kamili

Gelwa Yonah (21), Silvia Mwacha (12), Fatuma Issa (5), Esther Mayala (23), Daniela kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Pambani kuzoya (17), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Asha Djafari (24)

Advertisement

Topister Situma (13)

Wachezaji wa akiba

Zubeda mgunda (29), Doto Evarist (11), Diana William (15), Violeth Nicholaus (26), Zainabu Mohamed (8), Philomena Abakah (27), Olaiya Barakat (9), Amina Ramadhani (14) Aisha Juma (10), Sarrive Badiambila (2).

Back to homepage
Share this story