Simba Sports Club
News

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Garde Republicaine

14 Aug 2022 By simbasc 690 views
Leo saa moja usiku kikosi chetu cha timu ya Wanawake kitashuka katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Garde Republicaine FC kutoka Djibouti katika michuano ya Klabu Bingwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati. Sisi ndio timu pekee kutoka Tanzania na michuano inafanyika katika ardhi ya nyumbani hivyo ni jukumu letu kuhakikisha ubingwa unabaki. Kikosi kamili Gelwa Yonah (21), Silvia Mwacha (12), Fatuma Issa (5), Esther Mayala (23), Daniela kanyanya (22), Vivian Corazone (4), Pambani kuzoya (17), Joelle Bukuru (18), Opa Clement (7), Asha Djafari (24) Topister Situma (13) Wachezaji wa akiba Zubeda mgunda (29), Doto Evarist (11), Diana William (15), Violeth Nicholaus (26), Zainabu Mohamed (8), Philomena Abakah (27), Olaiya Barakat (9), Amina Ramadhani (14) Aisha Juma (10), Sarrive Badiambila (2).
Advertisement
Back to homepage
Share this story