Simba Sports Club
News

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Fountain Princess

28 Jan 2025

Queens itaingia kwenye mchezo wa leo ikiwa na kumbukumbu nzuri ya ushindi mnono wa mabao 11-0 dhidi ya Mlandizi Queens wiki iliyopita.

Hiki hapa kikosi kamili kilichopangwa:

Janeth Shija (30), Fatuma Issa (5), Wincate Kaari (29), Violeth Nicholaus (26), Ruth Ingosi (20), Esther Mayala (23), Vivian Corazone (17), Precious Christopher (8), Jentrix Shikangwa (25), Aisha Juma (10), Asha Djafari (24).

Advertisement

Wachezaji wa Akiba:

Gelwa Yonah (21), Dotto Evarist (2), Emeliana Mdimu (15), Janeth Nyagali (12), Mwanahamisi Omary (7), Shelda Boniface (9), Zawadi Hamisi (36), Ritticia Nabbosa (27), Elizabeth Wambui (4).

Back to homepage
Share this story