Queens itaingia katika mchezo huo ikiwa na lengo la kuhakikisha alama tatu muhimu zinapatikana katika Uwanja wa ugenini.
Hiki hapa Kikosi Kamili kilichopangwa:
Ruth Aturo (1), Zanga Brice (22), Zainah Nandede (11), Asha Ramadhani (12), Ruth Ingosi (20), Vivian Corazone (17), Aisha Mnunka (10), Elizabeth Joseph (21), Jentrix Shikangwa (25), Elizabeth Wambui (4), Fasila Adhiambo (29).
Advertisement
Wachezaji wa Akiba:
Zuhura Waziri (38), Doto Evarist (2), Zawadi Hamis (18), Elizabeth Nashon (6), Janeth Nyagali (7), Zawadi Usanase (36), Neema Mtunzi (16), Cordelia Amarachi (19), Janeth Shija (30).