Simba Sports Club
News

Kikosi cha Queens kilichopangwa kuikabili Ceasiaa Queens

17 May 2023 By simbasc 231 views
Leo saa 9:30 kikosi chetu cha Simba Queens kitashuka katika Uwanja wa Mkwawa kuikabili Ceasiaa Queens katika mchezo wa mwisho wa Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite Women's Premier League. Kikosi Kamili kilichopangwa: Carolyne Rufa (28), Diana Mnali (15), Esther Bessa (23), Danai Bhobho (40), Ruth Ingosi (20), Joelle Bukuru (18), Vivian Corazone (4) Asha Djafar (24), Mwanahamisi Omary (7), Jentrix Shikangwa (25). Wachezaji wa Akiba Janeth Shija (30), Wema Richard (3), Amina Hemed (14), Silvia Thomas (12), Shelda Boniface (39), Koku Kipanga (19), Topister Situma (13), Zainabu Mohamed (8), Asha Rashid (33).
Advertisement
Back to homepage
Share this story