Simba Sports Club
News

Kibu mchezaji bora Mei

2 Jun 2022

Kibu ameshinda tuzo hiyo baada ya kuwapiku viungo Rally Bwalya pamoja na Mzamiru Yassin.

Katika mwezi Mei, Kibu amecheza mechi saba sawa na dakika 630 akifunga mabao matano na kusaidia kupatikana kwa bao moja.

Kwa kushinda kinyang'anyiro hicho Kibu atakabidhiwa pesa taslimu Sh. 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP.

Mchanganuo wa kura

Advertisement

Jina Kura Asilimia

Kibu 474 84

Bwalya 67 11

Mzamiru 19 3

Back to homepage
Share this story