Kibu alipata maumivu hayo katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vipers uliopigwa Uwanja wa St. Mary's, Entebe Uganda, Februari 25.
Kibu ataendelea kufanya mazoezi chini ya uangalizi wa daktari kwa muda wa siku mbili kabla ya kujiunga na wenzake.
Advertisement
Kibu ndiye mchezaji pekee ambaye ni majeruhi kwenye kikosi chetu kwa sasa na hali yake inazidi kuimarika.