Msafara huo unatarajiwa kufika Uhuru kuanzia saa 9 Alasiri na baada ya kuwasili tuu uzinduzi utafanyika.
Bado tunaangalia uwezekano wa tukio hilo kuwa Mubashara kwa kushirikiana na wenzetu wa TTCL ambao wamefunga mitambo ya mawasiliano juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro.