Simba Sports Club
News

KIBEGI CHAFIKA HOROMBO

20 Jul 2023

Zoezi la kupandisha begi juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro limeanza jana mchana na litakamilika kesho saa moja jioni.

Baada ya kutoka Horombo mashujaa wetu wataendelea na safari ambapo kituo kinachofuata kitakuwa Kibo.

Advertisement

Tutaendelea kukupasha hatua kwa hatua kupitia App hii kila kinachoendelea mpaka kitakapofika juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Back to homepage
Share this story