Kabla ya kuwa Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha aliiongoza USM Alger kuchukua kombe la shirikisho la Afrika baada ya kuifunga Yanga, pia aliiongoza USM Alger kuchukua kombe la Suoer Cup baada ya kuifunga Al-Ahly ya Misri.
Pia amezifundisha timu nyingine kama Raja Casablanca, CR Belouizdad , RS Barkane, MC Alger , Club African, TR Tanger na timu nyingine kadhaa.
Advertisement
Klabu ya Simba inamkaribisha kwa furaha kubwa na kumtakia kila la kheri.