Josephine ni kijana mdogo mwenye miaka 20 ambaye bado ana nguvu ya kuutumikia mpira kwa muda mrefu kutoka sasa.
Msimu uliopita Josephine amehusika kwenye mabao nane ya Baobab akifunga manne na kutoa 'assisti' nne.
Advertisement
Josephine anategemewa kuwa msaada mkubwa kutokana na ubora alionao hasa ukizingatia umri wake.