Emeliana mwenye umri wa miaka 21 amejiunga nasi akitokea Ceasiaa Queens ya Iringa kwa mkataba wa miaka miwili.
Akiwa na Ceasia msimu uliopita Emeliana amefunga mabao matatu licha yakuwa mlinzi.
Advertisement
Dhamira yetu ni kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye michuano ya ndani na ile ya kimataifa ndio maana tunafanya usajili mzuri.
Emeliana bado ni kijana mdogo mwenye nguvu anakuja kwenye kikosi chetu kuongeza uimara wa safu ya ulinzi kutokana na uwezo wake.