Masinde ni moja ya wachezaji vijana mwenye kipaji kikubwa ambaye yupo katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars'.
Mbali nakucheza kama mlinzi wa kati, Masinde anamudu vizuri kucheza kama beki wa kulia.
Advertisement
Masinde anakuja kuungana na walinzi wengine wa kati kama Abdulazak Hamza, Karabou Chamou, Rushine De Reuck na Wilson Nangu.
Usajili wa Masinde umehitimisha usajili wetu katika dirisha hili kubwa la 2025/2026.