Zuhura (24) ni binti wa Kitanzania mwenye uwezo mkubwa wa kulinda lango na pia ana uzoefu wa Ligi ya nyumbani.
Zuhura anategemewa kuwapa changamoto kikosini wakongwe Janeth Shija na Ruth Aturo kutokana na uwezo wake.