Simba Sports Club
News

Karibu Simba Queens Usanase Zawadi

23 Sep 2025

Usanase ni nyota kutoka nchini Rwanda ambaye ana uwezo wa kucheza nafasi mbalimbali kwenye idara ya ushambuliaji

Usanase (22) anaweza kucheza kama winga wa kulia, winga wa kushoto pia mshambuliaji kinara namba tisa.

Advertisement

Usajili huu wa Usanase tunategemea utakuwa na faida kubwa hasa ukizingatia kipaji alichonacho pamoja na uzoefu wake katika soka la Afrika Mashariki.

Back to homepage
Share this story