Umutesiwase (21) raia wa Rwanda ana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi mbalimbali kwenye idara ya ushambuliaji ikiwa ni moja ya sababu iliyotuvutia kuinasa saini yake.
Umutesiwase anaweza kucheza kama winga wa kulia, kushoto na mashambulizi kinara namba tisa zote kwa ufanisi mkubwa.