Simba Sports Club
News

Karibu Simba Queens Saiki Mary Atinuke

30 Jul 2024

Atinuke ni raia wa Nigeria mwenye umri wa miaka 24 ambaye sifa yake kubwa ni kuipa timu uwiano wakati wa kuzuia na kushambulia.

Atinuke pia anaweza kucheza kiungo wa juu namba nane kwa ufanisi mkubwa.

Advertisement

Katika msimu uliopita amefanikiwa kufunga bao moja na kusaidia kupatikana kwa mengine mawili.

Atinuke amekuja kuongeza nguvu kwenye kiungo wa ulinzi na kuisaidia timu kupandisha timu.

Back to homepage
Share this story