Ruth (30) raia wa Uganda ni mmoja ya wachezaji mwenye kipaji kikubwa na kwa uwezo wake tunaamini ataisaidia Queens kufanya vizuri katika mashindano tukayoshiriki msimu huu 2025/2026.
Uongozi wa klabu umefanya mabadiliko makubwa ya kikosi lengo likiwa ni kurejesha heshima na kutwaa mataji yote tuliyopoteza.