Odoma (22) raia wa Nigeria ni mchezaji mwenye uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi kwa washambuliaji pamoja na kufunga yeye mwenyewe.
Moja ya changamoto tuliyokuwanayo msimu uliopita ilikuwa kutengeneza nafasi na kuzitumia kwahiyo tunategemea Odoma kuwa mwarobaini wa hili.