Simba Sports Club
News

Karibu Simba Queens Neema Mtunzi

23 Sep 2025

Neema (19) ni binti wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kucheza nafasi zote za ulinzi pamoja na kiungo mkabaji.

Neema anaweza kucheza kama beki wa kulia, kushoto, beki wa Kati na wakati mwingine kama kiungo mkabaji namba sita.

Advertisement

Umri wake mdogo na uwezo wake kucheza nafasi tofauti uwanjani tena kwa ufanisi mkubwa ni moja ya sifa iliyotuvutia kuinasa saini yake.

Back to homepage
Share this story