Adhiambo raia wa Kenya ana uwezo mkubwa wa kucheza winga ya kulia na kiungo mshambuliaji namba 10.
Adhiambo tayari amejiunga na timu na yupo kwenye kikosi kinachoendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi 2025/2026.