Simba Sports Club
News

Karibu Simba Queens Elizabeth Joseph

24 Sep 2025

Elizabeth (24) ni binti wa Kitanzania mwenye uwezo mkubwa wa kukaba pamoja na kuanzisha mashambulizi.

Umri wake mdogo na uwezo wake uwanjani ni moja ya sifa iliyotuvutia kuinasa saini yake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story