Simba Sports Club
News

Karibu Simba Queens Cynthia Shilwatso Musungu

22 Sep 2025

Cynthia (24) raia wa Kenya ni miongoni mwa washambuliaji nyota ambaye tunategemea atarejesha makali ya kikosi chetu.

Cynthia anakuwa miongoni mwa ujenzi mpya wa Simba Queens baada ya kuondoka kwa wachezaji wengi tuliokuwa nao msimu uliopita.

Advertisement
Back to homepage
Share this story