Asha anakuwa sehemu ya maboresho makubwa tuliyofanya ya Simba Queens kuelekea msimu mpya wa mashindano 2025/2026.
Asha raia wa Tanzania ni mlinzi mwenye uwezo mkubwa wa kukaba na kushambulia kwa pamoja na hiyo ni moja ya sifa iliyotuvutia kuinasa saini yake.