Simba Sports Club
News

Karibu Simba Nickson Kibabage

19 Jan 2026

Kibabage ni miongoni mwa wachezaji vijana wenye kasi na matumizi ya akili katika kutimiza majukumu yake uwanjani.

Simba inaamini Kibabage ataongeza ufanisi kwenye kikosi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story