Simba Sports Club
News

Karibu Simba Djibrilla Kassali

20 Jan 2026

Djibrilla (29) ndiye mlinda mlango namba moja wa timu ya Taifa ya Niger na ana uzoefu mkubwa wa michuano ya Afrika.

Usajili wa Djibrilla unakuja kuongeza nguvu langoni kwetu kutokana na makipa wetu wawili Moussa Camara na Yakoub Suleiman kuwa majeruhi.

Advertisement

Tayari Djibrilla amewasili nchini kujiunga na kikosina atakuwa sehemu ya wachezaji wanaondoka alafajiri ya kesho kuelekea nchini Tunisia

Back to homepage
Share this story