Simba Sports Club
News

Karabaka ajiunga na Namungo kwa Mkopo

31 Dec 2024

Karabaka alijiunga nasi Januari mwaka huu kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Klabu ya JKU ya Visiwani Zanzibar.

Karabaka ni mchezaji kijana mwenye uwezo mkubwa na matumaini ya klabu ya Simba ni kwamba ataendelea kuonyesha makali yake akiwa na kikosi cha Namungo.

Advertisement

Karabaka anakuwa mchezaji wa kwanza kutolewa kwa mkopo katika kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili.

Back to homepage
Share this story