Simba Sports Club
News

Kapombe, Henock, Onyango wachuana Mchezaji Bora Aprili

1 May 2022

Nyota hao ni mlinzi wa kulia, Shomari Kapombe walinzi wa kati, Henock Inonga na Joash Onyango.

Kiungo mkabaji Sadio Kanoute na mlinzi wa kushoto, Mohamed Hussein 'Zimbwe Jr' waliingia katika tano bora kabla ya kupunguzwa na kubaki watatu.

Mchanganuo wa takwimu zao

Mwezi Aprili tumecheza mechi sita

Mechi Dakika Goli Assist

Advertisement

1. Kapombe 6 540 1 0

2. Henock 4 360 0 0

3. Onyango 4 360 0 0

Zoezi la kupiga kura tayari limeanza kupitia tovuti yetu ya www.simbasc.co.tz na litafungwa kesho Mei 2 saa sita usiku.

Mshindi atakabidhiwa fedha taslimu Sh 2,000,000 na tuzo kutoka kwa wadhamini Emirate Aluminium ACP baada ya zoezi la upigaji kura kukamilika.

Back to homepage
Share this story