Kapombe ni miongoni mwa wachezaji waliotoa mchango mkubwa na kuisadia timu kufika fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu uliopita.
Kapombe anaungana na nyota wafuatao ambao wanaowania tuzo hiyo, Ismail Belkacemi, Blati Toure, Youssef Dayo, Fiston Mayele, Emam Ashour na Ibrahim Adel.
Advertisement
Wengine ni Mohamed Hrimat, Mohamed Chibi na Ousama Lamlioui.