Simba Sports Club
News

Joash ajiunga na Singida kwa mkopo

8 Jul 2023

Kwa sasa, Joash amebakiza mkataba wa mwaka mmoja.

Uongozi wa Simba Sports Club unapenda kumshukuru sana Joash kwa mchango wake mkubwa na alikuwa na mchango mkubwa kwenye mafanikio ya Klabu yetu.

Advertisement

Uongozi wa Simba Sports Club unapenda kumtakia kila la kheri Joash Ochieng Onyango kwenye majukumu yake mapya.

Back to homepage
Share this story