Shikangwa amekabidhiwa kiatu cha dhahabu katika hafla ya tuzo za TFF 2022/23 zinazofanyika jijini Tanga usiku huu.
Shikangwa pia amechaguliwa katika kikosi bora cha SLWPL msimu wa 2022/23.
Advertisement
Wachezaji wengine walioingia kwenye kikosi bora cha msimu ni pamoja na walinzi Fatuma Issa 'Fetty Densa' na Violeth Nicholas.