Simba Sports Club
News

Hongera Taifa Stars

7 Sep 2023

Stars imefuzu baada ya kumaliza nafasi ya pili kwenye kundi F nyuma ya Algeria ikiwa na alama nane.

Tanzania inakuwa miongoni mwa nchi 24 zilizofanikiwa kushiriki michuano ya AFCON ambayo itafanyika nchini Ivory Coast, Januari mwakani.

Advertisement

Hii ni mara ya tatu kwa Tanzania kufuzu AFCON baada ya mwaka 1980 na 2019.

Back to homepage
Share this story