Simba Sports Club
News

Hizi hapa zilizotinga hatua ya pili ya Tembo Card Simba Matawi Bonanza

6 Sep 2025

Tembo Card Simba Matawi Bonanza imechezwa kwa mfumo wa mtoano hivyo timu zilizoshinda zimefuzu kwa hatua ya pili.

Timu ambazo zimetinga hatua ya pili ni Home Boys, Simba Maendeleo Lumo, Simba Damu Fans (SDF), Mpira Pesa Group, Nguvu ya Simba Asilia, Wekundu wa Terminal, Mpira Pesa Mikumi, Kamati ya Roho Mbaya na Asili ya Simba Kawe.

Haya hapa Matokeo ya mechi zote za awali

Simba Hatari 0-1 Simba Maendeleo

Wababe wa Kimataifa 0-1 Simba Maendeleo

Mpira Maendeleo 2-3 Simba Damu Fans

Advertisement

Mpira Pesa Group 3-0 Wekundu wa Chamazi

Vuvuzela 0-1 Nguvu ya Simba Asilia

Kwanza Sisi Mbagala 2-3 Wekundu wa Terminal

Mpira Pesa Mikumi 7-6 Karume Unstoppable

Kamati ya Roho Mbaya 1-0 Tunawakera

Asili ya Simba Kawe 2-0 Mtongani

Back to homepage
Share this story