Timu zilizotinga Nusu Fainali ni zile zilizomaliza nafasi mbili za juu kutoka kwenye kila kundi kutokana na msimu huu kuchezwa kwa mfumo wa makundi.
Timu ambazo zimefuzu ni Equity Bank, Azania Bank, NMB Bank na NBC Bank.
Hii hapa ratiba ya Nusu Fainali
Advertisement
NBC Bank vs Azania
NMB vs Equity