Simba Sports Club
News

Hizi hapa namba za jezi za wachezaji wetu wapya

24 Jan 2026

Usajili huu umelenga kuongeza nguvu kwenye kila idara kuanzia golini, Ulinzi na kiungo.

Kwa upande wa golini tumemuongeza Djibrilla Kassali kwenye Ulinzi tumewaongeza Ismail Toure na Nickson Kibabage.

Kwa upande wa idara ya kiungo wa ushambuliaji tumewaongeza Clatous Chama na Libasse Gueye.

Namba za wachezaji wapya

Djibrilla Kassali 39

Advertisement

Nickson Kibabage 32

Ismail Toure 25

Clatous Chama 24

Libasse Gueye 29

Back to homepage
Share this story