Simba Sports Club
News

Hizi hapa jezi zetu kwa ajili ya maandalizi ya msimu (Pre Season)

30 Jul 2025

Tayari kikosi leo alfajiri kimeondoka kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya wiki nne na wachezaji watatumia jezi hizo.

Jezi hizo ni za rangi nyekundu, nyeupe na bluu kama ilivyo kawaida yetu na zitaanza kuonekana wakati kikosi kikiwa Misri.

Advertisement
Back to homepage
Share this story