Mchezo huo wa marudiano utapigwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili ya Septemba 22 saa 10 jioni.
Hivi hapa Viingilio vilivyotangazwa:
Mzunguko – 3,000
Orange – 5000
VIP C – 10,000
Advertisement
VIp B – 20,000
VIp A – 40,000
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia ya mitandao.
Uongozi wa klabu unawasisitiza mashabiki kununua tiketi mapema ili kupunguza usumbufu.