Ahmed ametangaza viingilio hivyo akiwa kwenye uzinduzi wa Tawi la Simba Mongolandege Ukonga, Dar es Salaam.
Hivi hapa Viingilio vilivyotangazwa:
VIP A – 50,000
VIP B – 30,000
VIP C – 20,000
Advertisement
ORANGE - 10,000
MZUNGUKO – 5,OOO
Tayari tiketi zimeanza kuuzwa kwa njia ya mtandao na vituoni.
Ahmed amewasisitiza mashabiki hasa wa Simba kununua tiketi mapema ili kuepusha usumbufu usio wa lazima.